WAZIRI MKUU WA INDIA AONDOKA NCHINI . - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, July 12, 2016

WAZIRI MKUU WA INDIA AONDOKA NCHINI .


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kabla ya kuondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini.


Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akiagana na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kabla ya kuondoka jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here