MTOTO WA ALIYEKUWA KIONGOZI WA AL-QAEDA OSAMA BIN LADEN HAMZA BIN LADEN AAPA KULIPA KISASI. - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, July 12, 2016

MTOTO WA ALIYEKUWA KIONGOZI WA AL-QAEDA OSAMA BIN LADEN HAMZA BIN LADEN AAPA KULIPA KISASI.


Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza bin Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua baba yake. 

Ameapa kuliendeleza kundi hilo, amesema wako kwenye mpango wa kutekeleza shambulizi lingine linalofanana na lile la Septemba 11, 2001

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here