Jana wafuasi watatu wa UKAWA walitiwa mbaroni baada ya kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe wa kumkashifu Mtukufu Mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Baadhi ya Mabango yalikuwa yanasomeka...
Dikteta uchwara utashindwa
Dikteta uchwara nenda Burundi
No comments:
Post a Comment