Usajili: SAID MORAD ATUA MSIMBAZI - PATRICIA-TV.com

Breaking

Share daily activities and have all funs here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, July 2, 2016

Usajili: SAID MORAD ATUA MSIMBAZI

Simba imemsajili Said Morad aliyemaliza mkataba wa kuitumikia klabu ya Azam FC ili kuziba nafasi ya Hassan Isihaka ambaye ameenda Mbao FC ya Mwanza mkopo.Morad amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja aliopewa msimu uliopita lakini baada ya mkataba huo kumalizika hajapewa mkataba mpya wa kuendela kubaki Chamazi.


Simba imemtoa Isihaka kwa mkopo baada kushindwa kuendelea kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha jeshi la Msimbazi.


Ikumbukwe nyota huyo aliyechipukia kutoka kwenye timu ya vijana ya Simba, msimu uliopita alihitilafiana na kocha wake Jackson Mayanja baada ya kugoma kucheza kwenyechezo wa kombe la FA dhidi ya Singida United

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here